Mcheza kikapu NBA Mamadou N’Diaye akiwa na wachezaji wa Man City

Wale mnaosema Haaland ni bonge la mtu basi mje muone jitu la miraba minne huku.

Pichani ni mcheza kikapu wa NBA ambaye ni Msenegal akiwa na wachezaji wa Man City akiwemo Haaland.
View attachment 2756185

The guy is 7.6 ft for godsake...unategemea kwa urefu huo watu ordinary wataonekanaje kwake?

Halafu Nd'iaye hayupo NBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…