TANZIA Mcheza soka wa zamani, Duncan Butinini amefariki

Madcheda

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
423
Reaction score
69
Wanajamii wenzangu jana nimepata taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Duncan Butinini aliyeugua kwa muda mrefu. Huyu alikua mwanasoka hodari miaka ya 90. Msiba upo Kimara kwao. RIP
 
R.I.P Butinini. pole kwa wafiwa.
 
RIP Duncan... umebaki ule wimbo wa Tancut almas utatukumbusha enzi zako za kusakata kandanda
 
Nikiwa mshabiki wa Reli Moro miaka hiyo bado nakumbuka utaalamu na juhudi za Hayati Dancun Butinini. Hakika kwake tumetokea na kwake tutarejea.
 
Jamaa alikuwa anapiga kiungo si mchezo alikuwa anakimbia taratibu huku akitanua mikono yake kwa nyuma,enzi hizo reli kiboko yao mji kasoro bahari Moroooo...ndani ya uwanja huku Mtono,Mbui Jordan,David Mihambo,Abdalah Mkali,Masenga,Peter Nkwela nk...Nakumbuka walizawadiwa baiskeli yeye (Duncan) aliiandika baiskeli yake 'The butty'.Tz tulishindwa kuuza wachezaji wetu nje miaka ile sijui tutawauza lini tena,R.I.P Butty
 
Miaka mitatu sijajua habari ya kifo cha butinini.....
Rip
 
Jamaa alikuwa anapiga kiungo si mchezo alikuwa anakimbia taratibu huku akitanua mikono yake kwa nyuma,enzi hizo reli kiboko yao mji kasoro bahari Moroooo...ndani ya uwanja huku Mtono,Mbui Jordan,David Mihambo,Abdalah Mkali,Masenga,Peter Nkwela nk...Nakumbuka walizawadiwa baiskeli yeye (Duncan) aliiandika baiskeli yake 'The butty'.Tz tulishindwa kuuza wachezaji wetu nje miaka ile sijui tutawauza lini tena,R.I.P Butty

Mbuyi Yondani
 
Back
Top Bottom