TANZIA Mcheza soka wa zamani, Duncan Butinini amefariki

mbui yondani
 
Peter Mjata!
Athuman Msomali!
Boniface Njohole!
Mwanamtwa Kihwelo!
Gaspar Lupindo!
Madundo Mtambo!
Dincan Mwamba
Fikiri Magoso!
Juma Salum!
Mbui Yondan!

Hii timu mnyama alikufa 4-2 ndani ya Jamhuri!

Butty alikuwa kiungo wa pembeni, mbio sana! ukimkaba vby viwiko vinakuhusu kwa ule ukimbiaji wake!

RIP Duncan Butinini!
 
Hiyo gemu niliiona,niliingia uwanjani saa 4 asubuhi.Ila walikuwa wakienda Mbeya walikuwa hawana ujanja mbele ya Tukuyu stars ya akina Jimmy Mored 'moro' na stephen Mussa,Godwin & Asanga Aswile,Justine Mtekele nk
 
Miaka mitatu sijajua habari ya kifo cha butinini.....
Rip
Same here!tena wachezaje wenzake Allan katunzi na Juma Rajab ni watu wangu wa karibu sana!
 
Hiyo gemu niliiona,niliingia uwanjani saa 4 asubuhi.Ila walikuwa wakienda Mbeya walikuwa hawana ujanja mbele ya Tukuyu stars ya akina Jimmy Mored 'moro' na stephen Mussa,Godwin & Asanga Aswile,Justine Mtekele nk

mkuu wewe utakuwa mwenzangu! kipindi hicho soka lilikuwa mikoani, sio siku hizi, majungu na fitna tupu! ilikuwa timu za kariakoo zikienda Morogoro - majanga! Mbeya - majanga! Tanga - majanga! Mwanza - Majanga! Songea - majanga!
 
Kipindi kile mikoani ilikuwa si mchezo ata ukisikiliza mpira redioni ni raha tupu,Dar yupo Charles Hilary/Omary Jongo/Nadhir Mayoka anakwambia hapa Dar mpira bado ni 1-1 nimpishe mwenzangu wa kule mwanza aendelee kidogo,lakini kabda sijampisha nimepata matokeo ya Mkwakwani/Tanga ambapo Sikinde Mbunga anaipatia Majimaji bao la kusawazisha,Majimaji 1-African Sport 1(Victor Nkanwa)kwako Chilambo (Mwanza).Kipindi kile ata ligi daraja la tatu mpira saaaaaaafiiiiiiii
 
Same here!tena wachezaje wenzake Allan katunzi na Juma Rajab ni watu wangu wa karibu sana!
Katunzi yuko wapi huyu mtu??
Mchezaji Allan Katunzi namtafuta alipo .......
Nina uhakika nayeye ananitafuta..
Ni zaidi ya friends...

I miss the guy
 
reli morogoro aka kiboko ya vigogo...kipa athumani msumali, beki mbili james chale, namba tatu abdala mkali 4. gaspaer lupindo, sentafu fikiri magoso, sita mwanamtwa kihwelo, namba saba msafiri hamisi, 8.boniface njohole, namba tisa Duncan butinini, 10. mbuyi yondani **** na moja peter mjate.....hatumwi mtoto dukani hapo!
rip duncan butinini
 
hukuona ameweka nukta ndo kaanza sentensi nyingine ama umejitoa ufahamu
Aliyetajwa ni mtu mmoja Duncun Butinin na mwandishi anamalizia kuhusu kwake tutarejea,Nani Sasa? Unataka kumlisha maneno ambayo yeye hajayaweka.Hivi nikisema tu,,,yeye aliye juu inatosha kuleta maana kama nilivyokusudia? Nani aliye juu? Aliye juu ya nini? Juu ya mti,nyumba,mlima au mawinguni?
 
Mbui Yordan na David Mihambo baadae walienda kuchezea Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…