Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwanini klabu haiweki wazi amefanya kosa gani hasa?
Kwanini walituambia mtovu wa nidhamu? Si wangekausha tuIli iweje?
Kwanini walituambia mtovu wa nidhamu? Si wangekausha tu
Wampe tena bia, ila wamwambie ni marufuku kutongoza usingizi wa boss MwamediJonasi Mkude mchezaji mahiri alisimamishwa kwa muda kushiriki soka kwa tuhuma za utovu wa kinidhamu
Hatima yake itajulikana baada ya Kikao cha Kamati ya nidhamu ya Klabu ya Simba kinachoendelea muda huu kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam
Waafrika tuna upumbavu mwingi mno, tunaficha ficha nini? John terry alipita na mke wa mchezaji mwingine mbona iliwekwa wazi? Mbona walichofanya wakina benzema iliwekwa wazi sisi huku afrika ndio tuna unafiki sanaMkuu,wakati mwingine kunyamaza ni bora kuliko kuja na hoja ya mtu asiye na shule kiasi hiki.Hilo neno kutokuwa na nidhamu ndio neno sahihi kulitangaza public.Mengine waachie viongozi.
wewe uambiwe kama naniWaafrika tuna upumbavu mwingi mno, tunaficha ficha nini? John terry alipita na mke wa mchezaji mwingine mbona iliwekwa wazi? Mbona walichofanya wakina benzema iliwekwa wazi sisi huku afrika ndio tuna unafiki sana
Mbona mnamtetea sana mtovu wa nidhamu?wewe uambiwe kama nani
Aliwapiga wenzie vidole hilo mbona linajulikanaMkuu,wakati mwingine kunyamaza ni bora kuliko kuja na hoja ya mtu asiye na shule kiasi hiki.Hilo neno kutokuwa na nidhamu ndio neno sahihi kulitangaza public.Mengine waachie viongozi.
Alitongoaza ile ya barabara gongolamboto kuelekew kwa akina mudi mnyaturuWaafrika tuna upumbavu mwingi mno, tunaficha ficha nini? John terry alipita na mke wa mchezaji mwingine mbona iliwekwa wazi? Mbona walichofanya wakina benzema iliwekwa wazi sisi huku afrika ndio tuna unafiki sana
Safi sana, ajira ya Mkude ni kucheza mpira. Kumfungia kucheza mpira ni sawa na kumfukuza kazi na kuharibu kipaji. Ni maamuzi mazuri japo mil.2 kwa mshahara wake tena kulipa ndani ya mwezi mmoja labda Okw Boban Sunzu asaidie kumlipia nusu.ametozwa faini ya 2m. leo anarejea tizi
Kwa sababu inajua kuweka wazi hakuisaidii kwa lolote klabu na mchezajiKwanini klabu haiweki wazi amefanya kosa gani hasa?
OkKwa sababu inajua kuweka wazi hakuisaidii kwa lolote klabu na mchezaji
KOSA LA KWANZA: Kutohudhuria semina elekezi iliyohusisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Adhabu yake ni faini ya shilingi milioni moja (1,000,000).Kwanini klabu haiweki wazi amefanya kosa gani hasa?