Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Weeeeeeeeeeeeeee...... ni yule athur aliyekua kwao brazil hata hivyo ameonekana negative ni woga tuUyo ni mess
Sijui itakuwaje kwakwer
Siyo Messi. Maana mwenye Covid hajawa kwenye contact na team inayokwenda Lisbon.Uyo ni mess
Sijui itakuwaje kwakwer
Tena katika mechi hii wanajua itatazwa sana ndo mana wakaleta propaganda ya covid 19 kabla ya mechiMabeberu wanacheza na akili zetu Sana kuhusu hili gonjwa