Mchezaji aliyeshusha daraja timu 2 ana sifa zipi za kusajiliwa Simba ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bado sijaelewa sababu hasa za Habibu Kyombo kusajiliwa na Simba , timu mbili alizochezea zimeshuka daraja , sasa labda Timu yetu ya Simba itufichulie kama inamlipa fadhila baada ya kushiriki kuzihujumu timu za Mbao na Mbeya Kwanza , kama alitumwa kufanya hivyo .

Nakaribisha maswali .
 
Nisome ndani ya mistari
Sawa kaka, cha kwanza ni kwamba kushuka kwa timu haimaanishi mchezaji mbaya maana peeformance ya timu inategemea vitu vingi sana,so siyo kigezo.
2. Unajuaje kahujumu hizo timu kaka?na kama kahujumu moja tu kati ya hiyo timu we ukajua,je hiyo ya pili hawajajua? Na kama wamejua kwann wamsajili?
 
Sio under 20 Mzee ila alikwenda trial na akaferi coz trial yake walimpatia acheze na timu ya watoto ya Sundowns na akashindwa kuprove uwezo wake

Ila nawakumbusha tena, Bwana mdogo ni Prone Injury
Kwamba huenda ukawa unaujua mpira kushinda viongozi wa Simba waliomsajili na watakaomlipa?
 
Wewe mwana chadema, Kyombo alicheza strikers gani kwenye hizo timu alizocheza ama alikuwa peke yake na akashindwa kutekeleza majukumu yake?
 
Sio under 20 Mzee ila alikwenda trial na akaferi coz trial yake walimpatia acheze na timu ya watoto ya Sundowns na akashindwa kuprove uwezo wake

Ila nawakumbusha tena, Bwana mdogo ni Prone Injury
Hii ya injury prone ntakuunga mkono kwamba inatisha ila kufail majarbio kule hakumfanyi awe hafai,sundowns si timu ndogo and u dnt knw nn kilimkwamisha, mwsho viongozi nadhani wameangalia mengi sana na mazito si hvi vvtu vduchu vyako.
Umetoa wap abt hujuma na hao simba wanafanikiwa na nni kuhujumu hzo timu?
 
Asiyejua maana haambiwi maana. Pilipili iko shamba inakuwashia nini?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
mpira haupo ivo mze.. usajili wa mchezaji kinachotizamwa ni performance yake uwanjani..

roy keane - man utd walimsajili kutoka nottingham forest ambay ilishuka daraja.

andrew robertson - liverpool walimsajili kutoka hull city ambay ilishuka daraja.

nathan ake - man city walimsajili kutoka bournemouth ambayo ilishuka daraja.
 
Kama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?
 
Simba wangeacha Yanga wamalize jambo lao kwanza ndio waje na huu ujinga wao.

Watu tumemind sababu wameingilia mambo ya siku ya Yanga wakati kabla ya hapo walituahidi hadi baada ya Eid.
Afu wanatuletea kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…