Wakuu wana JF naomba nijulisheni. Je ni kweli kuwa mchezaji wa kwanza aliyevunja mwiko kwa kuhama timu kati ya Simba na Yanga ni Ezekiel Greyson aliyehamia Simba akitokea Yanga?
Mkuu nimesema mchezaji wa kwanza katika historiaya Simba na Yanga. waliohama kutoka klabu moja kwenye nyingine katika hizi ni wengi. Nazungumzia mchezaji aliye "kill the jinx" na hasa ukizingatia miaka ya nyuma wachezaji walikuwa kwenye timu fulani kwa upenzi kwa klabu wala haikuwa pesa.