Mchezaji anayecheza ligi ya Zanzibar kutoka bara, anahesabika kama mgeni

ZagaZagarino

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
431
Reaction score
589
ZFF WAWEKA NGUMU WACHEZAJI KUTOKA TANZANIA BARA.

[emoji1542]KWA LIGI YA ZANZIBAR MCHEZAJI KUTOKA BARA ANASAJILIWA KUWA NI MCHEZAJI WA KIGENI

[emoji3502]Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) Imepigisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klab yoyote itakayomsaini mchezaji kutoka Tanzania bara ataingizwa kwenye system kama Mchezaji wakigeni kwa maana lazima akatiwe Kibali cha kuishi Zanzibar ambacho kina gharimu pesa za kitanzania laki 5,

Pia kwenye klab Moja hawatakiwi kuzidi wachezaji 9

[emoji3502]Kwa ligi ngazi ya Mkoa Mvhezaji kutoka Tanzania bara atakatiwa kibali cha kuishi na kufanya kazi kwa msimu. Mmoja ambacho kita gharimu Pesa za kitanzania Laki 3

[emoji1542]KWA TANZANIA BARA MCHEZAJI KUTOKA ZANZIBAR ANASAJILIWA KUWA NI MZAWA

Je hii inatengeneza Usawa wa ajira ama Ubaguzi wa Ajira ?

Au lengo ni nini ?

Hii kitaalamu inakuwaje kwa kanuni Mpya hizo kwa msimu huu wa 23/24 zimeanza kazi

@zffzanzibar x @tanfootball
FB_IMG_1693149169495.jpg
 
Na wazanzibar Timu ya taifa wanacheza Kwa haki zote na wabara tuna cheza kama wageni

Sababu
1. Katika ligi yao tuna hesabika kama wageni pamoja na kuwa na pass ile ile ya kusafiria kama wao
2. Wao huku bara ni wazawa sio wageni na hawaitaji kibali chochote kuweza kufanya shughuli zao hivyo timu ya taifa Wana haki nayo kuliko sisi 🤣

Ubaguzi una mwisho!

Ipo siku atakuja kiongozi atafutafuta sheria zote na kuifanya zanzibar mkoa!

Tudumishe amani na umoja wetu!
 
ZFF WAWEKA NGUMU WACHEZAJI KUTOKA TANZANIA BARA.

[emoji1542]KWA LIGI YA ZANZIBAR MCHEZAJI KUTOKA BARA ANASAJILIWA KUWA NI MCHEZAJI WA KIGENI

[emoji3502]Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) Imepigisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klab yoyote itakayomsaini mchezaji kutoka Tanzania bara ataingizwa kwenye system kama Mchezaji wakigeni kwa maana lazima akatiwe Kibali cha kuishi Zanzibar ambacho kina gharimu pesa za kitanzania laki 5,

Pia kwenye klab Moja hawatakiwi kuzidi wachezaji 9

[emoji3502]Kwa ligi ngazi ya Mkoa Mvhezaji kutoka Tanzania bara atakatiwa kibali cha kuishi na kufanya kazi kwa msimu. Mmoja ambacho kita gharimu Pesa za kitanzania Laki 3

[emoji1542]KWA TANZANIA BARA MCHEZAJI KUTOKA ZANZIBAR ANASAJILIWA KUWA NI MZAWA

Je hii inatengeneza Usawa wa ajira ama Ubaguzi wa Ajira ?

Au lengo ni nini ?

Hii kitaalamu inakuwaje kwa kanuni Mpya hizo kwa msimu huu wa 23/24 zimeanza kazi

@zffzanzibar x @tanfootballView attachment 2730561
Siku ukiwafahamu Wazanzibari kwa kina, kamwe huwezi kuumiza kichwa. Kifupi tu hao ni wazee wa changu changu, chako changu.

Natamani sana huu Muungano wa hovyo uvunjike haraka iwezekanavyo, ili tuondokane kabisa na hao kupe.
 
Wazanzibar wana roho mbaya sana wale jamaa sijui wanajiona waarabu.
 
Back
Top Bottom