Mchezaji auwa kwa kupigwa na majambazi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Nahodha wa klabu ya SC Villa ya Uganda, David Owori, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi karibu na nyumbani kwake.

Taarifa za kifo cha Owori, zimethibitishwa na klabu hiyo, kupitia ukurasa wake wa X, Agosti 5, 2026.

Kulingana na taarifa hizo, Owori alikuwa anarejea nyumbani usiku wa Agosti 4, kabla ya kushambuliwa na watu wanaoaminika kuwa ni majambazi na kumwacha katika hali mahututi na hatimaye, kupoteza maisha.

Jumamosi iliyopita, Owori alikuwa uwanjani kushiriki hatua ya 8 bora ya Kombe la FUFA, nchini Uganda.

​
 
Mwingine Kafia uwanjani baada ya kupigwa rafu na mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…