Mchezaji Bora wa mechi

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika?! Vipi akishatangazwa hivyo halafu akatolewa Kwa Kadi nyekundu kwa makosa ya nidhamu....ataendelea kuwa mchezaji bora?!
 
Umeanza lini kufuatilia mpira?
 
Kama kweli wangekua fair mchezaji Bora ni refa aliye wazawadia Simba Penalty ya bahasha.
Maana aina Ile ya penalty inabidi mshipa wa aibu ukatike ndio uitoe.
 
Ndiyo huwa hivyo mkuu, hata EPL sometimes SkySports humwekea hadi caption kwenye TV huku mechi ikiwa katika dakika za mwisho.

Ova
 
Mtasema sana zamu hii,bado hamjasema
Sisi msemo wetu Yanga Bingwa na ndio maana tukikutana tuna wapasua za kutosha ata refa akizipunguza uwa Zina baki za kutupatia point tatu.
 
Ilikuwa dakika ya ngapi Acha utopwinyo
 
Sisi msemo wetu Yanga Bingwa na ndio maana tukikutana tuna wapasua za kutosha ata refa akizipunguza uwa Zina baki za kutupatia point tatu.
Labda bingwa wa kucheza drafti
 
Nyie wanawake mambo ya mpira wengi bado hamjui. Nimejisikia aibu kwa huu uzi wako.
 
Kama kweli wangekua fair mchezaji Bora ni refa aliye wazawadia Simba Penalty ya bahasha.
Maana aina Ile ya penalty inabidi mshipa wa aibu ukatike ndio uitoe.
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…