Mchezaji bora wa mwezi ,Bodi ya ligi iangalie vigezo zaidi

Mchezaji bora wa mwezi ,Bodi ya ligi iangalie vigezo zaidi

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Sio lazima iwe ni aliefunga magoli tu,wapewe na viungo,mabeki na hata makipa kwani wao huangalia striker tu walinzi hapana hii sio fair,tubadilike kama ilivyo UEFA wameanza kubadilika.pia hili la kumpa mchezaji bora wa mwezi kwa mechi moja tu je ni kipimo tosha? tafakarini chukueni hatua
 
Huwa sio mchezaji bora bali ni mfungaji bora
 
Back
Top Bottom