Sio lazima iwe ni aliefunga magoli tu,wapewe na viungo,mabeki na hata makipa kwani wao huangalia striker tu walinzi hapana hii sio fair,tubadilike kama ilivyo UEFA wameanza kubadilika.pia hili la kumpa mchezaji bora wa mwezi kwa mechi moja tu je ni kipimo tosha? tafakarini chukueni hatua