Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

Ukiacha Gaucho, mwengine ni Austin "Jay jay" Okocha,
Ukitaka ufaidi burudani ya Mpira watazame hawa wawili wakicheza
 
Jamani nimesahau jina la yule kijana wa Liver pool ambaye alikuwa kila siku naumia ila alikuwa mfungaji bora wa timu yake na England. Ilibidi alitire akiwa mdogo.
 
Ongeza na Didier Zokora katika list yako.
 
Jamani nimesahau jina la yule kijana wa Liver pool ambaye alikuwa kila siku naumia ila alikuwa mfungaji bora wa timu yake na England. Ilibidi alitire akiwa mdogo.
Yupi huyo? Mbona kama kumbukumbu zangu hazioneshi uwepo wa huyo mtu ndani ya kikosi cha Liverpool? Au unasema Michael Owen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…