Nilikuja humu jukwaani ili kuandika hili jina, Iniesta ni kiumbe kingine, nilikuwa napenda vile anavyonyambulika, jamaa alikuwa na skillz za hali ya juu sana.
afadhali Boban alikwenda akarudi kuwa hana raha na huko ugenini kisa analipa kodi kubwaa, huyo Ngasa alikuwa Simba akawagombaniwa na El Mereikh na Yanga yeye akaamua kwenda Yanga, Rage akamshawishi kijana acha uboya kacheze nje utatoka, yeye akaona Rage msaliti wakamchukua Yanga. sasa hivi sijui yuko wapi