Kuna mashine za kitambo..De Lima Figowoooh nilisahau[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka mpaka kikopo changu cha maji alichorwa roberto carlos[emoji8][emoji8][emoji8]
nikaja kumpenda Luis Fabiano[emoji8]
Alipata umaarufu uzeeni au wewe ndio ulimfahamu katika uzee wake?afterall kinachoongelewa si umaarufu bali ufundi wa mpira.Alipata umaarufu uzeeni.
Luis Figo[emoji123][emoji123]Kuna mashine za kitambo..De Lima Figo
najua ila nampendaga tu...Fabiano mbona wa Jana huyo
Bastituta ilikuwa ni shiidaEmanuel gabriel batsituta
Victor costa nyumba
Zinedine zidane zizou
Paul scholes
Dah!!
Dilima ndio nini mkuu?Ronaldo Dilima
hujui mpiraAlipata umaarufu uzeeni au wewe ndio ulimfahamu katika uzee wake?afterall kinachoongelewa si umaarufu bali ufundi wa mpira.
UNGA UMEMUWEKA NDANI HUKO SWEDENJoseph kaniki "gorota"mzee wa mashuti
Hayo yatakua mapenzi ya dhatinajua ila nampendaga tu...
Unapenda wachezaji mahandsome..cr7 siyo kipenzi chako kweli?najua ila nampendaga tu...