Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

Nilitaka kumtaja ricardo nakutana na musonda nikachoka
 
Ben Mwalala
Steven Bengo
Dan Watakuja
Mark Sirengo
William Fanibulla
 
Jose Luis Miquesson...
Huyu jamaa ana balaa Mimi n Yanga ila ilibidi mwanangu nimpe jina la Miquesson kumuenzi jamaa ..
After Ngassa sijawahi ona mtu hatari kwenye ligi yetu kama Miq
 
True jamaa fundi wa ukweli
 
Mimi ni Yanga ila Okwi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kucheza soka la Tanzania.

Yaw Berkooo, mpaka sasa sijaona kipa mzuri Yanga kama Yaw Berko ktk kipindi chake. Huyu Mghana alikuwa anajua kuzilinda nyavu.
Kwa Berko na Diara umechochola mkuu. Kwangu mini ni Nonda shabani "Papiii" pamoja na Diara.
 
Shehani Rashid(pemba), waziri mahadhi nchi ya tanga
We Mkongwe kama unawajua hao. Hao jamaa ni mafundi sana. Shekhan Sijui kapotelea wapi. Kwa wachezaji wazawa, sijui kama kuna anayemkutia Shekhan Rashid Abdallah. Tanga kulikuwa na Abdallah Salehe Sabebe kijana wa Majani Mapana, Shekuye Salehe pamoja na Waziri Mahadhi bin Jabri. 🔥 📛
 
Ungeuliza wale ambao walikuwa ni hasara kwa timu zao, lakini wengine wengi walikuwa bora kulingana na wakati wao na nafasi zao kwani hawakucheza kipindi kimoja na hawakucheza katika nafasi moja kiasi cha kuwaweka kipimo komoja.

Wachezaji kama Kanoute na Sawadogo ni hasara sana jkwa Simba
 
Triple C mwamaba wa lusaka

Chama JR

Huyu timu ndo mbovu
Sio yeye
Kama unabisha angalia goli za simba msimu huu

Kama hayuko kwenye assists basi chance created
Such a composed att mid
 
Maalim Saleh Romario unamuweka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…