Mchezaji kugombana na klabu ni mambo ya kawaida, sema wengi mmevamia fani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba, klabu yangu pendwa iliwahi kuingia kwenye mzozo kama huu na kiungo fundi wa mpira marehemu Method Mogella, Method alikuwa fundi hasa kiungo wa chini lakini baadae alitorokea Yanga. Mzozo ulikuwa mkubwa t.

Simba iliingia mzozo na Deo Njohole ambaye alienda kujiunga Yanga.

Simba iliingia mzozo na marehemu Hamis Gaga Gagarino akaenda Yanga.

Simba iliingia mgogoro na Hassan Ramadhan Kessy akaenda Yanga.

Simba iliingia mgogoro na Ramadhan Singano Messi akaenda Azam.

Leo mnashangaa mgogoro wa Yanga na Feitoto, mnaukuza utadhani ndio wa kwanza kutokea. Jinga kweli.
 
Yap mgogoro ni kawaida kwenye Club hiyo ipo sehemu nyingi hata Ulaya tumeona.

Ila uswahili na uhuni ndio kitu kinachokuja kuifanya Yanga ionekane tofauti na hizo Club zingine
 
Subiri tumpe pesa Chama awaingizie kwenye account yenu kuvunja mkataba halafu ndio mje kujambajamba hapa.
 
Akishavunja mkataba na kuonesha nia ya kutotaka kabisa kucheza Simba hatuwezi kuendelea kumnga'ang'ania

Kama ni faini tutamlipisha kutokana na kuvunja mkataba illegal then arudishe signing fee baada ya hapo he's free to go
 
Feisal kafuata mkataba wa shangazi yako?
Feisali kafuata kanuni ya kuvunja mkataba ambayo ya makala ya 17 ya FIFA inayosema "termination of contract without just cause"

Ambapo hapo kama Club mlipaswa kumuadhibu kwa kumlipisha faini na TFF ikibidi kumfungia kwa kipindi cha miezi minne kisha kumuacha asepe zake.

Hayo yote aliyajua na alikuwa tayari kuya face na Yanga ilijuwa ila haikutaka kumuachia.
 
Bush lawyer.
 
Yap mgogoro ni kawaida kwenye Club hiyo ipo sehemu nyingi hata Ulaya tumeona.

Ila uswahili na uhuni ndio kitu kinachokuja kuifanya Yanga ionekane tofauti na hizo Club zingine
Mwaka huu utateseka sana
 
Hicho cheo cha utabiri inaonekana unakipenda
CAS wanasuruhisha ugomvi wa watu binafsi,? wewe wakili uchwara umesikia mteja wako anasema akiondoka Hersi yupo tayari kurudi ina maana yake hana shida na Yanga (taasisi) wala hakuna utata kwenye mkataba huko CAS mtaenda kusema mama yane alitukanwa andazi,?
 
Nani kakuambia ni swala la kesi binafsi?

Ngoja tuweke vitu sawa

Hivi yale madai yenu kuwa Yanga ilimuita Feisali wakae mezani, unafikiri hilo neno Yanga kama taasisi ndio liliotoa huo wito au kuna mtu mwenye mamlaka ndiye alitoa wito kama muwakilishi wa taasisi?

Taasisi bila viongozi wakutoa amri itajiendeshaje?

Hajaanza tu kwa kusema akiondoka Hersi ye yupo tayari kurudi, don't 't quote him wrong.

Aliulizwa vipi endapo ikatokea Hersi akiondoka upo tayari kurudi hapo ndio akajibu ndio. Sasa namna mnavyolikuza hili neno ni kama yeye ndio alikuja kusema directly kuwa Hersi akiondoka mi nitarudi.
 
Wewe na Faisal nani mwenye kulalamika? Yeye anasema shida ya Yanga isipokua Hersi wewe unataka kuleta ya kwako
 
Ambayo hiyo Yanga inaongozwa na mtu gani wa juu mwenye maamuzi ?

Hersi kupitia mamlaka yake kama kiongozi wa Club amezuia kuruhusu Feisali kuondoka

Na yeye Hersi ndiye aliyemuambia Feisali nenda CAS
 
Huyo dogo na wewe akili zenu ni nusu kama Hersi ndio mtendaji mkuu na anadai anamnyanyasa alie mpandishia masilahi mpka 30M ni nani?
 
30M ipi hiyo unayoizungumzia wewe?

The same question, kama unaona Feisali anatamaa sana na hela kwanini aliacha dili nono la Simba akabakia Yanga ambayo ilikuwa inamlipa kidogo?

Na ukumbuke Hersi mwenyewe anathibibisha kuwa Feisali ana nidhamu nzuri
 
Akishavunja mkataba na kuonesha nia ya kutotaka kabisa kucheza Simba hatuwezi kuendelea kumnga'ang'ania

Kama ni faini tutamlipisha kutokana na kuvunja mkataba illegal then arudishe signing fee baada ya hapo he's free to go
Umemjibu vizuri kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom