Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Subiri tumpe pesa Chama awaingizie kwenye account yenu kuvunja mkataba halafu ndio mje kujambajamba hapa.Yap mgogoro ni kawaida kwenye Club hiyo ipo sehemu nyingi hata Ulaya tumeona.
Ila uswahili na uhuni ndio kitu kinachokuja kuifanya Yanga ionekane tofauti na hizo Club zingine
Feisal kafuata mkataba wa shangazi yako?Luc Eymael mliadhibiwa kulipa milion 300+ kutokana na kuvunja mkataba kwa kutofuata sheria
Akishavunja mkataba na kuonesha nia ya kutotaka kabisa kucheza Simba hatuwezi kuendelea kumnga'ang'aniaSubiri tumpe pesa Chama awaingizie kwenye account yenu kuvunja mkataba halafu ndio mje kujambajamba hapa.
Feisali kafuata kanuni ya kuvunja mkataba ambayo ya makala ya 17 ya FIFA inayosema "termination of contract without just cause"Feisal kafuata mkataba wa shangazi yako?
Bush lawyer.Feisali kafuata kanuni ya kuvunja mkataba ambayo ya makala ya 17 ya FIFA inayosema "termination of contract without just cause"
Ambapo hapo kama Club mlipaswa kumuadhibu kwa kumlipisha faini na TFF ikibidi kumfungia kwa kipindi cha miezi minne kisha kumuacha asepe zake.
Hayo yote aliyajua na alikuwa tayari kuya face na Yanga ilijuwa ila haikutaka kumuachia.
Kivyovyote vile utavyojiskia kuniita, ila ukweli ndio huoBush lawyer.
Mwaka huu utateseka sanaYap mgogoro ni kawaida kwenye Club hiyo ipo sehemu nyingi hata Ulaya tumeona.
Ila uswahili na uhuni ndio kitu kinachokuja kuifanya Yanga ionekane tofauti na hizo Club zingine
Hicho cheo cha utabiri inaonekana unakipendaMwaka huu utateseka sana
CAS wanasuruhisha ugomvi wa watu binafsi,? wewe wakili uchwara umesikia mteja wako anasema akiondoka Hersi yupo tayari kurudi ina maana yake hana shida na Yanga (taasisi) wala hakuna utata kwenye mkataba huko CAS mtaenda kusema mama yane alitukanwa andazi,?Hicho cheo cha utabiri inaonekana unakipenda
Nani kakuambia ni swala la kesi binafsi?CAS wanasuruhisha ugomvi wa watu binafsi,? wewe wakili uchwara umesikia mteja wako anasema akiondoka Hersi yupo tayari kurudi ina maana yake hana shida na Yanga (taasisi) wala hakuna utata kwenye mkataba huko CAS mtaenda kusema mama yane alitukanwa andazi,?
Wewe na Faisal nani mwenye kulalamika? Yeye anasema shida ya Yanga isipokua Hersi wewe unataka kuleta ya kwakoNani kakuambia ni swala la kesi binafsi?
Ngoja tuweke vitu sawa
Hivi yale madai yenu kuwa Yanga ilimuita Feisali wakae mezani, unafikiri hilo neno Yanga kama taasisi ndio liliotoa huo wito au kuna mtu mwenye mamlaka ndiye alitoa wito kama muwakilishi wa taasisi?
Taasisi bila viongozi wakutoa amri itajiendeshaje?
Hajaanza tu kwa kusema akiondoka Hersi ye yupo tayari kurudi, don't 't quote him wrong.
Aliulizwa vipi endapo ikatokea Hersi akiondoka upo tayari kurudi hapo ndio akajibu ndio. Sasa namna mnavyolikuza hili neno ni kama yeye ndio alikuja kusema directly kuwa Hersi akiondoka mi nitarudi.
Ambayo hiyo Yanga inaongozwa na mtu gani wa juu mwenye maamuzi ?Wewe na Faisal nani mwenye kulalamika? Yeye anasema shida ya Yanga isipokua Hersi wewe unataka kuleta ya kwako
Huyo dogo na wewe akili zenu ni nusu kama Hersi ndio mtendaji mkuu na anadai anamnyanyasa alie mpandishia masilahi mpka 30M ni nani?Ambayo hiyo Yanga inaongozwa na mtu gani wa juu mwenye maamuzi ?
Hersi kupitia mamlaka yake kama kiongozi wa Club amezuia kuruhusu Feisali kuondoka
Na yeye Hersi ndiye aliyemuambia Feisali nenda CAS
30M ipi hiyo unayoizungumzia wewe?Huyo dogo na wewe akili zenu ni nusu kama Hersi ndio mtendaji mkuu na anadai anamnyanyasa alie mpandishia masilahi mpka 30M ni nani?
Umemjibu vizuri kabisaaaa.Akishavunja mkataba na kuonesha nia ya kutotaka kabisa kucheza Simba hatuwezi kuendelea kumnga'ang'ania
Kama ni faini tutamlipisha kutokana na kuvunja mkataba illegal then arudishe signing fee baada ya hapo he's free to go