Mchezaji Kylian Mbappe atambulishwa rasmi katika klabu ya Real Madrid, mashabuki 80,000 wakata tiketi kushuhudia

Mchezaji Kylian Mbappe atambulishwa rasmi katika klabu ya Real Madrid, mashabuki 80,000 wakata tiketi kushuhudia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

“Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia"

"Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez. Ninaona familia yangu yote hivi sasa, na mama yangu ambaye analia."

©️ Kylian Mbappe
Akiongea baada ya kutambulishwa.

ℹ️ Mashabiki elfu 80+ wamehudhuria.

Picha ya pili ni wazazi wake 📸

◉ Baba mzazi : Wilfrid Mbappé mzaliwa na raia wa Cameroon 🇨🇲 kutoka kisiwa cha Djébalè. Ni kocha wa soka.

◉ Mama mzazi : Fayza Lamari raia wa Algeria 🇩🇿 mji wa Kabylie. Mchezaji wa zamani wa handball na wakala kwa sasa.

Tom Cruz facts 🧠
1721134798592.jpg
1721134802034.jpg
1721135137246.jpg
1721135133213.jpg
1721135126312.jpg
 

Attachments

  • 1721137027567.jpg
    1721137027567.jpg
    488.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom