U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jul 16, 2024 #1 Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: “Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia" "Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez. Ninaona familia yangu yote hivi sasa, na mama yangu ambaye analia." ©️ Kylian Mbappe Akiongea baada ya kutambulishwa. ℹ️ Mashabiki elfu 80+ wamehudhuria. Picha ya pili ni wazazi wake 📸 ◉ Baba mzazi : Wilfrid Mbappé mzaliwa na raia wa Cameroon 🇨🇲 kutoka kisiwa cha Djébalè. Ni kocha wa soka. ◉ Mama mzazi : Fayza Lamari raia wa Algeria 🇩🇿 mji wa Kabylie. Mchezaji wa zamani wa handball na wakala kwa sasa. Tom Cruz facts 🧠 Attachments 1721137027567.jpg 488.1 KB · Views: 4
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: “Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia" "Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez. Ninaona familia yangu yote hivi sasa, na mama yangu ambaye analia." ©️ Kylian Mbappe Akiongea baada ya kutambulishwa. ℹ️ Mashabiki elfu 80+ wamehudhuria. Picha ya pili ni wazazi wake 📸 ◉ Baba mzazi : Wilfrid Mbappé mzaliwa na raia wa Cameroon 🇨🇲 kutoka kisiwa cha Djébalè. Ni kocha wa soka. ◉ Mama mzazi : Fayza Lamari raia wa Algeria 🇩🇿 mji wa Kabylie. Mchezaji wa zamani wa handball na wakala kwa sasa. Tom Cruz facts 🧠
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Jul 16, 2024 #2 Da duniani. Unazaa mtoto kisha anakuwa kama pele . Wazazi wake wana afya nzuri.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Jul 16, 2024 #3 Tangantika said: Da duniani. Unazaa mtoto kisha anakuwa kama pele . Wazazi wake wana afya nzuri. Click to expand... Kila mzazi anataka the best kwa mwanae, kinachobadilish hayo ni mazingira anayokutana nayo mtoto
Tangantika said: Da duniani. Unazaa mtoto kisha anakuwa kama pele . Wazazi wake wana afya nzuri. Click to expand... Kila mzazi anataka the best kwa mwanae, kinachobadilish hayo ni mazingira anayokutana nayo mtoto
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Jul 16, 2024 #4 Mbape anafana na kale katoto kasumbufu ka Spain kama ndugu. Kale ka lamine.
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Jul 16, 2024 #5 Detective J said: Kila mzazi anataka the best kwa mwanae, kinachobadilish hayo ni mazingira anayokutana nayo mtoto Click to expand... Kama sisi wazazi tumefeli basi tuwekeze kwa watoto
Detective J said: Kila mzazi anataka the best kwa mwanae, kinachobadilish hayo ni mazingira anayokutana nayo mtoto Click to expand... Kama sisi wazazi tumefeli basi tuwekeze kwa watoto
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jul 16, 2024 #6 Aisee! Kesho namnunulia viatu ( njumu), dogo naona ana viashiria vyote vya U-Messi na U-Ronardo....
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 542 Reaction score 835 Jul 17, 2024 #7 muhomakilo jr said: Aisee! Kesho namnunulia viatu ( njumu), dogo naona ana viashiria vyote vya U-Messi na U-Ronardo.... Click to expand... Muhungilage
muhomakilo jr said: Aisee! Kesho namnunulia viatu ( njumu), dogo naona ana viashiria vyote vya U-Messi na U-Ronardo.... Click to expand... Muhungilage