MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Tetesi zinasema katika dirisha dogo, mchezaji Ladack Chasambi anatarajiwa kutua Namungo sc. Imeelezwa Namungo wameshatuma maombi ya kumnasa kinda huyo katika kujiimarisha na kuongeza nguvu kikosi hicho.