Mchezaji Mamadou Sakho na Mkewe watinga Bunge la JMT, Dodoma

Hv kwann ndugu yetu Sama Goal, hapewi heshima kama hii na yeye anatuwakilisha vyema huko ughaibuni???
 
Kila La Heri
Ambassador Wa Hiyari
 
Hv kwann ndugu yetu Sama Goal, hapewi heshima kama hii na yeye anatuwakilisha vyema huko ughaibuni???

Samatta mbona ana heshima kubwa sana bongo kuliko huyu Mamadou,, japo hana mafanikio kama ya mamadou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…