Mchezaji mpira auawa kwa kusababisha kufungwa goli

Mchezaji mpira auawa kwa kusababisha kufungwa goli

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Churchill Owaci(22) ameuawa na wachezaji wenzake kwa kufanya makosa yaliyopelekea kufungwa goli kati mechi ya kirafiki baina ya timu mbili za mtaani

Mwenyekiti wa Kaunti ndogo ya Agoro, Denis Onyon amesema wachezaji wenzake walimpiga. Baada ya mchezo Owaci alitaka kulipa kisasi na kumvuta mchezaji mwenzake kwenye baiskeli hali iliysababisha ugmvi zaidi

Msemaji wa Polisi, ASP Jimmy Patrick Okema amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema wanawashikilia watu wawili kuhusiana na hilo huku uchunguzi ukiendelea

===
A local football player in Lamwo District, Northern Uganda, died Saturday after he was reportedly assaulted by his teammates.

The deceased Churchill Owaci, 22, was allegedly assaulted by his teammates after he made an error that led to a goal during a friendly football match between the two local football teams.

The deceased was a resident of Tumanon A village, Agoro Sub County in Lamwo District. He was playing as a central defender in a match between the two teams all from Poba Parish.

According to the Agoro Sub County chairperson, Mr Denis Onyon, the bitter exchange ensued among the teammates after a goal was scored resulting from Owaci’s defensive blunder. They pounced on him, beating him up before they were separated.

“But later after the game, the deceased in a revenge act pushed one of the people that had earlier beaten him, from the bicycle which provoked another fight. The deceased collapsed a few metres away from the fight scene and was rushed to Agoro Health Centre III, where he was pronounced dead a few hours later,” he said.

The Aswa Regional Police Spokesperson, ASP Jimmy Patrick Okema, confirmed the incident saying the murder case was registered under CRB 201/2020 at Agoro Police Post where the two suspects are currently being detained.

“Investigations into the matter are ongoing and the suspects will be transferred to Lamwo Central Police Station from where they will be arraigned in court,” he said.
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana,kwenye soka ni lazima ufungwe kwa makosa au kuzidiwa, sasa ingekua kila anayefungisha anauawa basi kila siku tungekua tunashuhudia mauaji ya wachezaji mitaani.

Nadhani hao wauaji walikua tu na sababu zao binafsi za kufanya hayo mauaji na wala sio issue ya kufungisha tena mechi ya kirafiki! Sheria ifuate mkondo wake ili kukomesha huu ujinga mara moja.
 
Back
Top Bottom