Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

Daaah faini milioni 5 wezi hao aisee mchezaji analipwa kiasi gani mpaka mnataka 5m fanyeni kazi acha kutegemea kuwaibia wachezaji mimi ni Yanga ila hili la kuwaibia wachezaji hapana..
Mchezaji anatakiwa apewe adhabu ila sio mnaweka kitega uchumi tukiwauliza faini za mwaka jana mmefanyia nini ni kugawana tu hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…