Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

Joined
Nov 2, 2023
Posts
83
Reaction score
251
André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui.

Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa Emmanuel Amunike. Simba wanamchezaji mmoja mhaya somebody Mutalemwa.
 
Kuna huyu ni muitalia ambae amezaliwa dodoma tz na ni muwakilishi wa Italia kwenye olimpic
 

Attachments

  • Screenshot_20250128-211100.jpg
    238.1 KB · Views: 3
Amulike- Mungu ameniangaza,
'Ntwa'-Mungu
 
uwe unawasha translate kama hujui kiingereza

André-Frank Zambo Anguissa (born 16 November 1995), also known as Frank Anguissa, is a Cameroonian professional footballer who plays as a central midfielder for Serie A club Napoli and the Cameroon national team.
 
Aisee
 
kule Uruguay yupo Lugano ma Argentina yupo Kiazi.
 
Wachezaji wapo wengi mno nchini ila uswahili ndo unakwamisha hao wachezaji kuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…