Mchezaji Mwandamizi Simba SC: Tunafanya Kusudi Kucheza vibaya ili Kocha ajue hatuna Furaha nae na Mshambuliaji Baleke anatudharau sana Wenzake

Basi simba kama wanacheza kwa mgomo na wanapata matokeo hivi basi simba ni jiwe balaaa, je wakiacha mgomo si ndiyo watakua ni balaa na nusu
 
Hao wachezaji wa simba wanajitafutia sababu hakuna jipya
 
Hawana furaha ila mechi zake wanashinda zote,[emoji1787][emoji1787]dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…