Mchezaji mwingine aliyeichezea YANGA kuishtaki klabu hio kwa kushindwa kumlipa stahiki zake

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana ameibuka na kudai yupo kwenye mpango wa kuifungulia mashitaka Klabu ya Yanga kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile alichokieleza kuwa, ukiukwaji wa makubaliano ya malipo ya stahiki zake.

Hii inakuja ikiwa ni siku chache baada ya Fifa kuitaka Yanga kumlipa aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Amissi Tambwe.

Sibomana aliichezea Yanga kwa msimu mmoja uliopita kabla ya kuachwa mwishoni mwa msimu huo.Akizungumza na Championi Jumamosi, Sibomana alisema: “Tulikubaliana kwamba Yanga wanilipe fedha zangu za usajili ambazo zilibaki kiasi cha dola 10,000 (Sh mil 23).

“Kwa kuwa niliishi nao vizuri na nilijua timu ilikuwa haina fedha, tulipanga wanilipe kwanza fedha ya miezi mitatu pamoja na fedha ya usajili ambayo jumla yake ni dola 16,000 (Sh mil 36.9) ambayo nilikatwa kodi hadi kufikia dola 14,500 (Sh mil 33.4).

“Tukakubaliana kwamba wangenilipa Oktoba 30, mwaka jana ambapo walinipatia dola 3,000 (Sh mil 6.9) ikabaki dola 11,500 (Sh mil 26.5) ambapo niliwaambia wanipatie zote, lakini cha kushangaza walinitumia dola 1,500 (Sh mil 3.4) na mwezi Januari mwaka huu wakanipatia pesa iliyobaki, ambapo deni likabaki dola 4,000 (Sh mil 9.2.

“Sasa mimi nilikwazika kwa sababu walikuwa wakinilipa kwa muda wanaotaka na kwa kiwango wanachotaka, kila nikiwatafuta viongozi wamekuwa wakiniambia kwa nini nawaandikia barua mara kwa mara, wakati inawezekana nikarejea kwao siku moja.“

Mimi naona wananionea, kwa kutofuata makubaliano tuliyokuwa nayo na sijui kwa nini? Hivyo kwa sasa tayari nimewaandikia barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na kama suala langu litakuwa halijapatiwa ufumbuzi hadi kufikia Machi 1, basi sitakuwa na njia nyingine zaidi ya kupeleka malalamiko yangu Fifa.“Kiukweli nisingependa kufika huko, lakini nadhani wao ndiyo wananisukuma kufanya hivyo,” alisema Sibomana.

Alipotafutwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa azungumzie ishu hiyo alisema: “Taarifa kuhusiana na madai ya Sibomana tunazo hivyo tunashughulikia.

”Ulipotafutwa uongozi wa TFF kuthibitisha taarifa hiyo, Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo alisema: “Kwa upande wangu siwezi kusema lolote kwa sasa mpaka pale nitakapopata nafasi ya kuwasiliana na kamati ya sheria kuhusiana na hilo.
 
Yanga kama mnadaiwa lipeni ni kashfa kuwadhulumu wachezaji haki zao inawavunja moyo hata waliopo sasa.
 
Mwamedi mwenyewe na kujifanya kwake tajiri namba 13 Barani Afrika, ukimkuta ananuka madeni tu! Sembuse Yanga!!!

Wawe tu wavumilivu, watalipwa stahiki zao zote.
 
Duuuh acha kumfananisha MO na vitu vya KIJINGA / KIPUMBAVU
Tusiandikie mate, wewe si mwana msimbazi? Nenda kamuulize mpaka hapo alipo ana madeni au hana!

Mbaya zaidi yeye na Magabachori wenzake, wanakopa mamilioni ya shilingi kwenye Mabenki ya Nje kwa kuwekea dhamana za hati za mashamba yetu ya Mkonge, Viwanda vyetu vilivyo jengwa na Mzalendo halisi wa Nchi hii Mwl. J.K.Nyerere na kubinafsishwa kwa hao Magabachori kwa bei ya hasara, nk.
 
hivi kwa mtindo huu kuna mchezaji wa maana atashawishika kutua jangwani akishasoma malamiko kama haya? mabadiliko ni muhimu la sivyo tutaishia kuwa average players na kuishia kulalamikia makocha na marefa
 
Tusiandikie mate, wewe si mwana msimbazi? Nenda kamuulize mpaka hapo alipo ana madeni au hana!

Mbaya zaidi yeye na Magabachori wenzake, wanakopa mamilioni ya shilingi kwenye Mabenki ya Nje kwa kuwekea dhamana za hati za mashamba yetu ya Mkonge, Viwanda vyetu vilivyo jengwa na Mzalendo halisi wa Nchi hii Mwl. J.K.Nyerere na kubinafsishwa kwa hao Magabachori kwa bei ya hasara, nk.
Sisi tunazungumzia madeni ya yanga wewe unazungumzia madeni ya mo, mo ni mfanyabiashara kudaiwa ni kawaida sasa yanga wanafanya biashara gani sasa wataishiwa kufungiwa na FIFA kusajili au kushushwa daraja
 
Mwamedi mwenyewe na kujifanya kwake tajiri namba 13 Barani Afrika, ukimkuta ananuka madeni tu! Sembuse Yanga!!!

Wawe tu wavumilivu, watalipwa stahiki zao zote.
Hivi ndivyo akili zenu zilivyo? Mnabwatuka tu bila hata kufikiria.
Hivi kidimbwi fc inadaiwa kwa sababu ya uwekezaji au kwa ajili ya matumizi yake ya kila siku?
MO hadaiwi kwa sababu amekopa ili apate hela ya kula au matumizi yake ya kila siku, anadaiwa kwa sababu ya kuwekeza.
Hivi Yanga hela anazowadai Sibomana na Tabwe mliwakopa kwa ajili ya kujenga uwanja wa Kaunda au mlishindwa kuwalipa mishahara yao?
Acha kufananisha visivyo fananishwa
 
Kwa hiyo uwekezaji kwenye timu unahusisha majengo tu na viwanja! Unapo sajili wachezaji wazuri ili kupata Makombe, siyo uwekezaji!! 😇

Mbumbumbu msiishi kwa kukariri!
 
Sisi tunazungumzia madeni ya yanga wewe unazungumzia madeni ya mo, mo ni mfanyabiashara kudaiwa ni kawaida sasa yanga wanafanya biashara gani sasa wataishiwa kufungiwa na FIFA kusajili au kushushwa daraja
Mbona hata Vilabu vikubwa tu duniani kama Chelsea, na vinginevyo vingi tu hudaiwa na wachezaji wao, makocha, nk wavunjapo hiyo mikataba!! Iweje nongwa kwa Yanga!!

Na nimetoa mfano wa huyo Mwamedi wenu makusudi tu ili nione mtakavyo tokwa na mapovu! Mwamedi kitu gani bhana! Yanga tulikuwa na Manji!! Sembuse Mwamedi!!!
 
Back
Top Bottom