Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe ukimcheki kwenye YouTube mabao anayofunga na alichokuwa akikifanya hapa kwenye ligi yetu ni mzaha mtupu.
Leo kila mchezaji akitambulishwa semaji la dunia linaandika porojo nyingi sana ili kuwatia uzuzu mashabiki wake.
Hao wachezaji wanaweza kuwa wazuri kweli lakini mna kitengo kama cha Yang africa? Wao wana kitengo au idara kabisa inayoshughulika na ushirikina, wana idara kabisa inayoshughulika na kuchota nyota za wachezaji wa timu pinzani, wana idara ambayo inaharibu brand na mipango ya timu pin zani.
Wachezaji wenu mna mipango ya kuwazindika ili wasiharibiwe?
Wachezaji wenyewe kwa wenyewe wanaibiana soksi na vitu vingine ili wauane viwango, hao wachezaji wasipofanyiwa dua nzito, ule uwanja wa Bunju usiposafishwa mtaendelea kulia kila mwaka.
Hasifiwi mchezaji hadi aonekane uwezo wake dimbani, acheni ushamba