Habari zenu wana JF, nadhani kwa jinsi vyuma vilivyokaza basi ni kwa neema ya mungu mambo yatakuwa mazuri tu
Niende moja kwa moja kwenye maada bila kuwachosha.
Kuna huyu mchezaji wa kenya aliyekuwa akifahamika kama OTIENO MBOO, huyu jama miaka ya 80 alikuwa akicheza katika timu ya taisha ya nchi hiyo.
Basi, timu yake ilipokuwa kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya UGANDA basi yeye alipata jeraha ambalo litamfanya aukose huo mtanange wa kukata na shoka.
Kama kawaida kila gazeti nchini humo likaanza kuandika linavyojua. Sasa kuna gazeti moja lilizua taharuki lilipokuwa linaripoti juu ya mkasa huo wa timu ya taifa kuche bila mchezaji huyo kiungo wakiamini kuwa timu yao inakwenda kuchezea gori nyingi tu.
Basi gazeti hilo likaandika habari hiyo kwenye front page, ila Heading yake ilisomeka hivi, "HATIMAYE WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO" Mara tu ya habari hiyo kusambaa sehemu mbalimbali za kenya ndipo waziri wa habari akalikataza gazeti hilo kwamba lirekebishe hiyo Title kwani linaleta taharuki miongoni mwa jamii.
Basi gazeti hilo likajitahidi kuedit title hiyo huku ikisomeka, "WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE". Duuu miaka hiyo mambo yalikuwa moto