Mchezaji wa kiafrika aliyefanya mapenzi na dada yake ili awe maarufu kwenye soka

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
-Shiva N'Zigou alidai kuwa alifanya mapenzi na dadake na shangaziye

-Alisema alifanya hivyo kusaidia katika kukuza uchezaji wake

-Shiva alidai kuwa mamake alitolewa kafara

Mchezaji kandanda aliyestaafu kutoka Gabon, Shiva N'Nzigou, ametoa madai ya ajabu kwamba mamake alitolewa kafara kumsaidia kukuza uchezaji wake.

Nyota wa kandanda Afrika, Shiva N'Zigou akiri kufanya mapenzi na dadake na kumtoa kafara mamake
Mchezaji huyo aliye na miaka 34 wa Nantes, alisema hayo wakati wa mahojiano na Daily Star, UK.

Alisema pia kuwa alifanya mapenzi na dadake na shangaziye ili kuwa maarufu katika ulimwengu wa soka

Shiva pia alikiri kuwa alikuwa miaka mitano zaidi ya miaka anayotumia kucheza kandanda, na kusisitiza kuwa ni wazazi wake ambao walibadilisha siku yake ya kuzaliwa.

“Nilifanya mapenzi na shangazi yangu na pia dadangu. Nilala pia na mwanamume na nilikuwa katika uhusiano wa muda mrefu na mwanamume,” alisema kulingana na Daily Star, UK.


N'Zigou alikuwa mchezaji wa umri wa chini kabisa kuwahi kuchezea Africa Cup of Nations.

Akiwa na miaka 16 na siku 93, alitia wavuni bao na kuifanya Gabon kushinda Afrika Kusini 3-1 Africa Cup of Nations. Ndiye mchezaji wa umri mdogo zaidi kuwahi kufunga katika mashindano

Alichezea Gabon mechi 24 kati ya 2000 na 2008 na kufunga mabao matano. Aliacha kucheza 2016.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee,, Dunia kweli tambara bovu

Kibongo bongo kuna star mmoja nae zishawahi vuma habari kuwa analala na maza ake,, sijawah jua km ni kweli au la
 
Pesa mwanaharamu
 
Mimi nitakufa 'masikini' maana nimedhamiria kubaki ' anonymous'...!!

SIWEZI KAMWE
 
Aiseee,, Dunia kweli tambara bovu

Kibongo bongo kuna star mmoja nae zishawahi vuma habari kuwa analala na maza ake,, sijawah jua km ni kweli au la
Hebu fuatilia vizuri alivyoanza, maana habari zake hazipishani Sana na mabilionea wengine wanaovuma dunia wenye utajiri wa halali, Hilo la kulala na mama yake ni ya mkosaji tu. Nitakuwa wa mwisho kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…