mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Tuliaminishwa na wachambuzi kuwa Simba imelamba dume Kwa kusajili mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana iliyokuwa inajiandaa na kombe la dunia na ikasemekana atajumuishwa kwenye kosi la Black Stars litakaloenda huko Qatar.
Sasa nawauliza wanathimba yupo wapi huyu mwamba atusaidie kuokoa jahazi linaloenda kuzama huko Casablanca?
Sasa nawauliza wanathimba yupo wapi huyu mwamba atusaidie kuokoa jahazi linaloenda kuzama huko Casablanca?