Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.
Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.
Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.
Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.
Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.
Nasikitika Kwa Hashim Thabeet Kwa Sasa Alipo, Wakati Curry na Hashim wanatoka College Kwenye NBA, Hashim Alikuwa Namba 2 Kwa ubora kumzidi Curry, Sjui Ni Nini Kilimkuta Hashim Mpaka Akawa Hivi.