Mchezaji wa Namungo amesema maelezo baaada ya kadi nyekundu Ateba alisema hajamfanyia kitu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Huyu kaka amelaani vikali.

Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa.

Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad akamwomba capt akaulize kwa refa.

Akamfwata ateba kumuulixa kamfanyajr akamjibu hajamfanyia kitu.

Akasema mpira wa tanzania umelaaniwa sana na hautaendelea na wanaouaribu n tff na chama cha marefa. Akanshauri mnaochexa huko mje kucheza nbc fikirien kazi zingine.

Hii ligi imejaa uhuni na upuuzi.
 
Huenda nje ya vibunda marefa wanatishiwa taaluma au familia zao.

Maana ujasiri wa kutoa maamuzi ya hovyo huwa wanauyoa wapi? Sidhani kama ni ahadi ya kibunda pekee, labda na wao kuna namna wanalinda usalama wao.
 
Sema hili jambo linachafua sura ya mpira wa Tanzania. Kuna baadhi ya waandishi wa nje wameshaanza kulizungumzia akiwemo yule Mwandishi wa Ghana ambaye ni mnazi wa Simba.

Siku ile Yanga amecheza na Singida akasema kuna mambo yanaendelea katika ligi ya Tanzania ambayo sio mazuri na akaahidi kuja kulizungumzia zaidi naona kimya. Ila kilichotokea jana huwezi kuta anagusia kabisa.

Point yangu. Simba na Yanga hawa ni ndugu kabisa, mapacha wa kufanana. Ushenzi ataofanya Simba na Yanga atafanya huo huo. Wanajuana vizuri kabisa.

Kama kweli mnataka kumaliza haya matatizo ya upangaji matokeo kwa staili ya ikifanya timu yako unakuja na kauli "Basi tukupe filimbi wewe ukaaumue.", huku akifanya mpinzani wako unatoa povu. Hatutafika popote na tutazidi kujifedhehesha huko kimataifa.
 
Huyu kaka amelaani vikali.

Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa.

Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad akamwomba capt akaulize kwa refa.

Akamfwata ateba kumuulixa kamfanyajr akamjibu hajamfanyia kitu.

Akasema mpira wa tanzania umelaaniwa sana na hautaendelea na wanaouaribu n tff na chama cha marefa. Akanshauri mnaochexa huko mje kucheza nbc fikirien kazi zingine.

Hii ligi imejaa uhuni na upuuzi.
c mlikuwa mnasema refa ndo mwenye maamuzi ya mwisho uwanjani
 
Huyu kaka amelaani vikali.

Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa.

Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad akamwomba capt akaulize kwa refa.

Akamfwata ateba kumuulixa kamfanyajr akamjibu hajamfanyia kitu.

Akasema mpira wa tanzania umelaaniwa sana na hautaendelea na wanaouaribu n tff na chama cha marefa. Akanshauri mnaochexa huko mje kucheza nbc fikirien kazi zingine.

Hii ligi imejaa uhuni na upuuzi.
Pesa za Mwamedi zinawapumbaza waamuzi wetu wanahamua kupindisha sheria.

Alaaniwe Mwamedi!
 
Sasa kama waziri kaulizwa umeonaje mchezo ANASEMA hakuna shida amefurahishwa na MAAMUZI ya Refa na uchezaji MZURI WA wachezaji

Huyu waziri

Sisi nani....hakuna shida JIBU

Hahaha
 
Mgunda kasema hajawahi kulalamikia HATA kuwapigia kelele marefa HATA wapigie filimbi kama wanachezesha Ngoma

Lakini kwa yaliotokea Jana nawaachien wananchi mlioangalia
 
Huyu kaka amelaani vikali.

Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa.

Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad akamwomba capt akaulize kwa refa.

Akamfwata ateba kumuulixa kamfanyajr akamjibu hajamfanyia kitu.

Akasema mpira wa tanzania umelaaniwa sana na hautaendelea na wanaouaribu n tff na chama cha marefa. Akanshauri mnaochexa huko mje kucheza nbc fikirien kazi zingine.

Hii ligi imejaa uhuni na upuuzi.
Namungo wamesema wanaikatia rufaa iyo kadi but tiyali ishawaathiri na aiwezi kubadili matokeo,,manufaa yako upande wa refa ashavuta kibunda chake na karo ya watoto ashalipa na kiwanja ashanunua 🤣
 
Mgunda kasema hajawahi kulalamikia HATA kuwapigia kelele marefa HATA wapigie filimbi kama wanachezesha Ngoma

Lakini kwa yaliotokea Jana nawaachien wananchi mlioangalia
Kauli nzito sana hii kutolewa na mwanaume
 
Namungo walicheza rafu. Wakamzoza refa karibu kumpiga. Hiyo ni mbaya sana.

Ninyi mnataja makosa yasiadhibiwe kwa sababu ni Simba
 
Simba na Yanga zinadumaza na kuua kabisa soka la Tanzania
Semeni tu ukweli.

Simba ndio wanaoharibu soka la bongo.

Simba wanaamini Yanga ashindi mechi zake kwa halali kwani hawana uwezo ambacho sio kweli.

Uwezo wa Yanga kwa miaka minne nyuma umekuwa mkubwa sana Simba hawataki kukubali hilo.

Ndiyo maana wanakuja na shutuma nyingi za uongo mara wachezaji wanachomwa sindano mara Yanga wanaloga ni majini wanaocheza sio wao mara Yanga wanapanga matokeo.

Kukabiliana na uongo wao huo ndio wakaja na ubaya ubwela wako tayari kushinda mechi kivyovyote hata kuonga marefa.

Wamedhamiria kuchukua ubingwa kwa mbinu safi na chafu.
 
Back
Top Bottom