Mchezaji wa Real Madrid ana umri wa miaka 19 na mwanae wa miaka 8

Kama Khalfani Ngasa tuu, kipindi yuko yanga akiwa na "miaka 19" alikuwa tayari na mtoto wa miaka 6!
 
Hakuna linaloshindikana Kwa mwafrica😁😁😁
 
West Africa wakiwa na talent, wanadanganya Sana umri ili kuweza kusigniwa kwenye academy za soka uko France.

Wakikaa uko miaka mingi wanapewa kabisa na uraia wa france.


Nadhan Hii ya camavinga iko hivyo,
Sura yake na umri wake haviendani.
 
Sijuagi huwa kuna siri gani kati ya miaka 18 hadi 29.

Inapendwaga sana hiyo miaka yaani waeza kuta watu wanachezea hapo tu. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…