Mchezaji wa Simba aliyecheza vizuri

Ila msiyempenda Kaja.....J'pili mtaimba Aleluya.!
Amapiano v/s Wachezaji Wa Boliii
Mashabiki wa simba mnapenda sana kucheza mpira wa mdomoni. Halafu mechi ikiisha mnaanza lawama tena kwa hao wachezaji, benchi la ufundi na mwekezaji wenu.

Yaani timu kama Yanga imhofie mchezaji kama Chama!! Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…