SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Serikali ya Jamhuri imtie pingu huyu muarifu.
 
Mnampuuzia mleta mada, akianza kuzingua mtaanza kelele kwenda kwa Mangungu.
 
Mnaongoza league lakn bado mnaumizwa na vitu vidogo tu, This is hilarious 😂😂
 
Watu wanakosa mambo ya kujadiliwa kwa ajili ya maendeleo ya mpira, umri wake unakuhusu nini? Timu hazina haja na umri wa mtu, wanachotaka ni huduma, kama ni mshambuliaji anafunga magoli? Kama upo una miaka 40 na unazifumania nyavu kama Ronaldo au Messi, utapata timu hata za Ulaya, suala la ubakaji kwa Ukata ni tata sana, maisha ambayo vijana wa Kiafrika wanaishi na mabinti za watu, wakienda Ulaya wakaishia maisha hayo wataitwa wabakaji.
 
Tuache chuki na utimu , kuhusu swala la kudanganya umri kwa Africa ni kama jambo la kawaida sijui labda hayo mengine
Sasa ndio hivi kiuwazi mkuu. Yaani kashindwa hata kudanganya nje ya mitandao mkuu? Mbona kila kitu kipo wazi dhidi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…