Mchezaji wa timu ya taifa GABON aitwa mahojiano na kamati ya nidhamu CAF

Suala la umri wacheza mpira wanafoji
Sana,sema kuna watu roho mbaya lazima wakuchomeee

Ova
 
Uongo mkubwa ni ule wa bocco kuwa na miaka 29 means bocco ni mdogo wake na chama .

Onyango mwenye miaka 26 means gadiel Michael ni kaka wa onyango
Onyango miaka 26 alisema mwaka Gani? Bodaboda kusema ana 20 pia ni uongo aisee
 
Legend
 

Attachments

  • FB_IMG_1704839636175.jpg
    87.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…