Believe it or not Wakenya bado inawauma sana kuona Corona haija athiri Tanzania kama kwao. Yule jamaa anadai Federation wameamua kufanya siri. Siri! Wakenya wafanye siri kwa manufaa ya nani?
Ya kwao wenyewe hawafanyi siri sembuse mchezaji alietokea Tanzania? Kwa upendo gani waliokua nao dhidi yetu na kuamua kulinda image yetu!
Nitaamini endapo Federation ya Kenya itatangaza ila sio source uchwara.