kijanamdogo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 231
- 177
Hapa si jukwaa la michezo.Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea MCHEZAJI wenye umri mkubwa, MCHEZAJI WA timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini YANGA KELVIN Yondani kumtemea mate MCHEZAJI wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.Naziomba Mamlaka husika TFF na Bodi ya Ligi Kumwadhibu MCHEZAJI huyo kwani ameonyesha utovu wa nidhamu Uwanjani ukizingatia ni MCHEZAJI WA Timu ya Taifa anayestahili kuwa Kioo cha Jamii.
Ile inaitwa nguvu ya ‘GANJA’ mkuu.Hapa si jukwaa la michezo.
Ila una hoja. Yondani ameonyesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana. Hivi yeye hakuwa kapteni wa Yanga siku ile? Anastahili adhabu kali sana.
Yaani lile li Yondani ni jichezaji la kishamba sana. Linakula bangi lile!. Yeye na Juma Nyosso huwa hawaingiagi uwanjani bila kuonja bange. Sasa atachezea kifuno mechi 10, na faini mililoni 2. Ataikosti klabu yakeHakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea MCHEZAJI wenye umri mkubwa, MCHEZAJI WA timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini YANGA KELVIN Yondani kumtemea mate MCHEZAJI wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.Naziomba Mamlaka husika TFF na Bodi ya Ligi Kumwadhibu MCHEZAJI huyo kwani ameonyesha utovu wa nidhamu Uwanjani ukizingatia ni MCHEZAJI WA Timu ya Taifa anayestahili kuwa Kioo cha Jamii.