Stunnaman008 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 458 Reaction score 530 Jul 13, 2026 #1 Nikweli ni yeye Mchezaji wa Yanga SC Ibrahim Bacca amejikuta kwenye doso Kali baada ya kurejea kazini kwake kwenye kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM) huku akiulizwa kwanini alifungisha kwenye mchezo dhidi ya Azam FC nusu Fainali ya CRDB. Your browser is not able to display this video.
Nikweli ni yeye Mchezaji wa Yanga SC Ibrahim Bacca amejikuta kwenye doso Kali baada ya kurejea kazini kwake kwenye kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM) huku akiulizwa kwanini alifungisha kwenye mchezo dhidi ya Azam FC nusu Fainali ya CRDB. Your browser is not able to display this video.
SMART PASSENGER JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,117 Jul 13, 2026 #2 Hiyo Ni movie waliamua Ku act Tu hapo hamna uhalisia
Stunnaman008 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 458 Reaction score 530 Jul 13, 2026 Thread starter #3 Ila ni yeye kabisa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jul 13, 2026 #4 Kuna wakati yeye na mwenzake Mwamnyeto wameicost sana timu.
Stunnaman008 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 458 Reaction score 530 Jul 13, 2026 Thread starter #5 Kocha mpya ameliona hilo amesema atalifanyia kazi
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,333 Jul 13, 2026 #6 Stunnaman008 said: Kocha mpya ameliona hilo amesema atalifanyia kazi Click to expand... Mikoba ya ngisi?
Stunnaman008 said: Kocha mpya ameliona hilo amesema atalifanyia kazi Click to expand... Mikoba ya ngisi?
Stunnaman008 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 458 Reaction score 530 Jul 13, 2026 Thread starter #7 Unamaana gani mkuu
Mkazamoyo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,638 Reaction score 2,817 Jul 13, 2026 #8 Kwahiyo huko kikosini wote ni wananchi au siyo?
Stunnaman008 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 458 Reaction score 530 Jul 13, 2026 Thread starter #9 Kabisa mkuu ndio wenye nchi
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,559 Reaction score 4,022 Jul 14, 2026 #10 Mkazamoyo said: Kwahiyo huko kikosini wote ni wananchi au siyo? Click to expand... Chezaji la hovyo