Mchezaji wa zamani wa Arsenal Sol Campbell ndani ya Break Point Dar es Salaam

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kwa wale mashabiki wa Arsenal, mchezaji wa zamani wa Timu hiyo yuko Dar es Salaam kwa mualiko wa Sport Pesa na jana alikua maeneo ya Break Point Konondoni akifurahia maisha.

Hawa wafadhili wapya wa Simba na Yanga wanajitahidi kuitangaza Nchi yetu. Wanatuletea watu wenye Majina makubwa sana hapa Bongo.

Meridian, Mbet sijui nani hawajawahi hata kumleta Nameless wa Kenya hapa Bongo au Kamilioni.

Watu wa Kubet, betini na sport pesa ipate hela ilete watu maarufu watutangazie nchi yetu.
 
Mbona kaja kimyakimya?
Halafu hakuna ushahidi wowote kwenye hiyo picha kudhihirisha kuwa kweli yuko Brake Point ya Kinondoni.
 
Mbona kaja kimyakimya?
Halafu hakuna ushahidi wowote kwenye hiyo picha kudhihirisha kuwa kweli yuko Brake Point ya Kinondoni.
Kama hujasikia wewe haimaanishi kuwa hajaja.....jamaa yupo Bongo

Wenzako walienda hadi kumpokea Jk Nyerere
 
Kama hujasikia wewe haimaanishi kuwa hajaja.....jamaa yupo Bongo

Wenzako walienda hadi kumpokea Jk Nyerere
Nisingekubana usingeleta huu uthibitisho. Nafurahi kuwa Campbell ameona Tz ni mahala pazuri pa kutembelea.
 
Alikua anajifunga balaa, afu Wenga hamuachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…