OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Aug 20, 2019 #21 Dah Dogo anaishi ulaya afu anajiua ..kazingua kichizi..
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Aug 20, 2019 Thread starter #22 Ollachuga Oc said: Dah Dogo anaishi ulaya afu anajiua ..kazingua kichizi.. Click to expand... hahah wakat kina mount wanakula bata tu
Ollachuga Oc said: Dah Dogo anaishi ulaya afu anajiua ..kazingua kichizi.. Click to expand... hahah wakat kina mount wanakula bata tu
Masulupwete JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 2,366 Reaction score 2,424 Aug 23, 2019 #23 Itakuwa msongo wa mawazo...unakuta kaona wenzie ambao pengine aliwazidi sana huko academy wameshatobotoa yeye bado anademadema.
Itakuwa msongo wa mawazo...unakuta kaona wenzie ambao pengine aliwazidi sana huko academy wameshatobotoa yeye bado anademadema.