Mchezaji wenu kweli alipita Newcastle au alikuwa mbeba viatu tu!

Mchezaji wenu kweli alipita Newcastle au alikuwa mbeba viatu tu!

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Utopolo mchezaji WENU kweli aliwahi kubahatika kupita kwenye klabu ya Newcastle united ya ligi kuu England kwenye miaka ya 2012 huko ila kwa Newcastle Ile ya miaka 2012 isingekuwa rahisi kupata namba hata Kwa bahati mbaya.

Kwanza Kwa nafasi anayocheza kulikuwa na kiungo wa kukata na shoka kutoka Ivory coast, marehemu tiote huyo mburundi angeanzaje kuchezaji.

Haya hata ukisema umpeleke kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji walikuwepo kina Yoan Cabaye, Hartim ber arfa, Cissoko, kina Mohammed Diame.

Hata ukisema umtafitie nafasi kweny beki huoni sehemu ambayo angepata namba walikuwepo kina coloccin,debuch n.k

Hao kina shola.ameobi walikua wanatokea benchi nyinyi mchezaji wenu angeanza wapi tuache kujifariji mchezaji wenu alikua mbeba viatu.vya kina demba ba na kina Tiote,

Sem. hongereni kwakua na mchezaji ambaye amewah shiriki mazoezi na wachezaji wa ligi kuu england
 
Utopolo mchezaji WENU kweli aliwahi kubahatika kupita kweny klabu ya new castle united ya ligi kuu england kweny miaka ya 2012 huko ila.kwa new castle Ile ya miaka 2012 isengekua rahisi kupata namb hata Kwa bahati mbaya

Kwanza Kwa nafasi anayocheza kulikua na kiungo wa kukata na shoka kutoka Ivory coast marehemu tiote uyo mburundi angeanzaje kuchezaji,

Haya Ata ukisema umpeleke kweny nasafi ya kiungo mshambuliaji walikuwepo kina yoan cabaye,hartim ber arfa ,cissoko, kina Mohammed diame

ata ukisema umtafitie nafasi kweny beki huoni sehemu ambayo angepata namba walikuwepo kina coloccin,debuch n.k

ao kina shola.ameobi walikua wanatokea benchi nyinyi mchezaji wenu angeanza wapi tuache kujifariji mchezaji wenu alikua mbeba viatu.vya kina demba ba,na kina tiote,

Sema hongereni kwakua na mchezaji ambaye amewah shiriki mazoezi na wachezaji wa ligi kuu england
Rekodi yake iko wazi kabisa wewe google tu utaona kila kitu, utaabika bro
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hii timu yenyewe mnayo cheza nayo inawapa tabu tu askari wetu wa uhamiaji, hawa wakija hapa kushiriki michuano ya CECAFA, wanakuja 30 wanaondoka 25 watano wanamsha zao Tunduma kuitafuta South na kila siku wanakamatwa mipakani,unaweza ukakuta hapo watatu washaamsha hapo wanaitafuta Tunduma.

Mimi leo sijaona cha ajabu hapa, tukutane tar 13 tuendeleze tabia yetu ya kuwafunga.
 
Alikua mfanyakazi ktk kiwanda cha Bia, na alitimuliwa misa wizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aziz key ni kama tumepigwa vilee……….
 
Huyo hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20220707-094418.png
    Screenshot_20220707-094418.png
    154.6 KB · Views: 2
Mwenzake ni kocha sahivi, yeye anashindwa nn kustaafu?? Hakuwekeza?? Si alikua ktk kiwanda cha bia???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unampangia Tena jinsi ya kuishi hii tabia yako utaacha lini
 
Back
Top Bottom