Mchezaji Yanga kujiangusha

Mchezaji Yanga kujiangusha

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,778
Ikijakugundulika kati ya Mechi ya Yanga na Mbeya City jana Kuwa Yule mchezaji wa Yanga alieteleza na Kuanguka Na Yanga kupewa Faulo ya Bureee... iliosababisha Goal kwa Yanga Refa kufungiwa....Au kuonywa....
 
Maramwishoo kufwatiliaa Mpira linii
Kablayakuleta mada ombeni ushauri HATAKWA MAJIRANI
 
Yanga Ile Faulo waliopewa Ina Utata sana sana Acha tuuu....MTU kateleza mwenyewe then Anapea Faulo...basi tuuu...inaudhi sana....
 
Haina utata wa yanga alivutwa jezi ingawa na yeye alivuta kidoooogo basi ikawa asubuhi ikawa jion goli
 
Back
Top Bottom