Mchezo gani hatari ya uliwahi cheza utotoni?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Mnapokuwa watoto huwa mnajikuta mnacheza michezo hatari sana bila kujua wengine huishia hata kupatwa na mauti lakini mimi Aisee sitasahau siku ambayo tulikuwa tunacheza ule mchezo wa kushikana mikono alafu mtu mmoja analala katikati ya mikono yenu then mnakuwa kama mnambinua kwa kumrusha hivi.. Sasa bwana mdogo wetu flani tulimrusha akadondokea Shingo aisee alilala kama kwa dak 1 hanyanyuki na akawa kama shingo imevunjika hivi tuliogopa sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Toka siku hiyo sijawahi rudia kwa kweli ule mchezo hata leo hii nkiona watoto wanaucheza nawakataza kabisa.

Mchezo gani hatari uliwahi cheza utotoni?
 
Asee umenikumbusha mbali nakumbuka tulikua tunatabia ya kukamata mbwa afu tunaifunga kamba au mnyororo tunafungilizia kwene mti baada ya hapo mbwa anatembezewa kichapo cha maana ana chapwa fimbo bila kikomo

Asa siku moja tumefunga mbwa kama kawaida yetu tunaichai mbwa katika kutafuta kujiokoa si ikakata kamba kilichotokea hapo

Duuh ilikuwa majanga mkuu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24]
 
Mwaka 2006 Nikiwa na miaka kama7 ivi nilienda Longido Kwa anko ambae alikua ni mfugaji wa Ng'ombe na mbusi,kulikua na Mtoto wa anko ambae alkua na umri kama wangu,Sasa baada ya kula cha asubuhi tukaambiwa tukachunge zile mifugo fas ya maporini,Sasa kumbe yule chalii kulikua kuna Ng'ombe jike alikua anamgegedaga na kashamzoea kinyama,ile tumefika akachukua mawe akayaweka chini nyuma ya yule mnyama alaf akapanda juu ya yale mawe ili awe mrefu apige zake mashine,akapanda akamgegeda maskini yule Ng'ombe katulia kabisa hadi anashuka nikapanda sasa mimi ile nashusha tu suruali nipige mzigo.yule Ng'ombe popote alipo alaaniwe asee.!sijui alinichukuliaje alinifumua teke alaf baada ya hapo sikujua kilichoendelea nilizinduka baadae nko peke angu tu porini alaf kwa mbali namsikia anko anauliza kwa hasira"Mgeni umemwacha wapi wewe Kayuyu?"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu aisee u made my day... Kayuyu alikuacha umezimaa...
 
Kayuyu koro sana yule chalii sitalisahau lile tukio man
 
Jambiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukibanwa unaenda kumjambia mwenzako omba uwe unaharisha dudula yuyuuuuu
 
Niliendaga mkoa fulani huko Kanda ya Ziwa wakati wa mapumziko baada ya masomo basi nilikuta watoto wa huko wanacheza mchezo mmoja hatari sana wanaita Mshindo kama sio Msindo
 
Msindo gonoka
 
Msindo
 
Mwaka 2006 Nikiwa na miaka kama7 ivi nilienda Longido Kwa anko ambae alikua ni mfugaji wa Ng'ombe na mbusi,kulikua na Mtoto wa anko ambae alkua na umri kama wangu,Sasa baada ya kula cha asubuhi tukaambiwa tukachunge zile mifugo fas ya maporini,Sasa kumbe yule chalii kulikua kuna Ng'ombe jike alikua anamgegedaga na kashamzoea kinyama,ile tumefika akachukua mawe akayaweka chini nyuma ya yule mnyama alaf akapanda juu ya yale mawe ili awe mrefu apige zake mashine,akapanda akamgegeda maskini yule Ng'ombe katulia kabisa hadi anashuka nikapanda sasa mimi ile nashusha tu suruali nipige mzigo.yule Ng'ombe popote alipo alaaniwe asee.!sijui alinichukuliaje alinifumua teke alaf baada ya hapo sikujua kilichoendelea nilizinduka baadae nko peke angu tu porini alaf kwa mbali namsikia anko anauliza kwa hasira"Mgeni umemwacha wapi wewe Kayuyu?"
Aisee
 
Back
Top Bottom