Samahani Zero IQ; ulipigwa hivo kwanni?Dubai
Hiyo sura ilivo fumuliwa kwa kipigo ndo naulizia au bwana Mungu ndo alikuunda hivo hivo?Wapi nimepigwa mkuu?
Du! Siku nikibahatika kukutana na ww naomba tupige picha mkuu.Ndio mkuu hiyo Sura ya kuzaliwa
Hahaha!! asanteUsijari mkuu ni ww na Camera man wako tu ata ukitaka tupige picha buku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dubai
Weh kumbe!Madam T; kibaba na mama kinguo nguo lazima iongoze maama ndo uwanja wa mazoezi na mafunzo siunajua haina shule hiyo.
Sasa unayempenda achaguliwe na mtu kwingine kabla zamu yako haijafika! Kamoyo pah kama mtu mzima vileMnatengeneza duara halafu mnaimba: -
"Kidea, kidea, kide kide kide kide kide kide, i love nakupenda...."
kisha unaenda kumchagua unayempenda...
Mitaa ya ubungo maziwa miaka ya 90..[emoji3]
dah mkuu umeniwahiiiKucheza kibaba mama na lilian kwenye migomba