Mchezo mchafu kumchagua DG mpya NHC


Bandari kila mtu alishangaa kupewa Mgawe ambaye hana uwezo na uzoefu.kulikuwa na dada mwenye uzoefu lakini Basil Mramba alimpiga vita yule na dada na kumkata huku chini kabla ya kupeleka kwa rais.Mramba alishirikiana vizuri na katibu mkuu kiongozi bwana LUHANJO.yule dada kilichomuharibia alikuwa MUISLAM.

ATCL nako kulikuwa na DR. Omari NUNDU ambaye amefanya tafiti nyingi za mambo ya ndege ana phD kwenye fani ya mambo ya anga. mwafrika wa kwanza kuwepo kwenye tume ya Anga duniani na rais wa kwanza wa mambo ya anga duniani. kwa nguvu za katibu mkuu LUHANJO ambaye ndio mtendaji mkuu wa IKULU alimnyima kazi DR.Omar Nundu kwa msingi wa dini yake kama alivyonyimwa dada ambaye angepata Bandari.

Katibu mkuu Kiongozi ana nguvu sana kwenye maamuzi haya lazima mjue huyu ndio mkuu wa usalama wa Taifa kwa namna nyingine.kati ya watu ambao JK alipaswa kuwaondoa ni Bwana Luhanjo ni mkabila na mdini mkubwa.hatukatazi kuweka watu wako lakini wawe na MERITS sio kulazimisha kama MGAWE na BANDARI,SANGA NA LAPT,MATTAKA NA ATCL.

Shirika la Nyumba linatakiwa lipate mtu mwenye uwezo sio kumpeleka mtu kwa kuwa ni kabila lako au unasali nae kanisa moja bila kutizama mustakali wa shirika husika.
 
NHC (Nyumba Huria Chache) shirika la nyumba kwa faida ya magabacholi.
vile vijumba vibovu vibovu ndo wanapangishwa walalahoi

HaPa umenena...saizi bongo bila kumhusisha mhindi hamna dili kubwa la real estate in partnership with NHC unaweza fanya!!!!...something STINKS IN THERE!!!
 
Kama GT analalamika ujue mtu anaelekea kupata hicho cheo sio wa dini yake!! Huyu bwana is on assignment to assist in whatever manner and make sure watu wa imani yake wanapigiwa chepuo kupata vyeo awamu hii; kwa mtindo huo mtaipeleka nchi yetu pabaya kwani vita based on faith ni mbaya sana!!
 

Mkubwa!

Tatizo kubwa bongo ni kukosa ukomavu na uzoefu wa waamuzi muhimu; tukuangalia kiundani--- tatizo limeanzia katika grassroot level na watu wanakua katika misingi hiyohiyo... haya yote tunayoongea kila siku ni mazao ya mfumo wenye matobotobo, built around personalities and poor quality assurance katika vetting system yetu.

Kibaya zaidi kwa sasa, kuna policy moja inasema kwamba mtu ambaye hayupo katika system hataweza kupata nafasi executive unless aingie katika entry point za kawaida no matter how skilful and capable he/she is; Mfumo tuutumiao kwa sasa umebaki wa moyo kuliko facts and merits

MCHANGIAJI MMOJA AMESEMA VIZURI SANA, KUNA HAJA YA VETTING AND APPROVAL PROCESS IITAKAYOPITIWA NA VYOMBO KAMA BUNGE NA IKIWEZEKANA OUR INTERVIEW APPROACH FOR TOP NOTCHES ZIWE TOFAUTI NA MTU AKALE "VIVA VOSE" KWENYE PANEL INAYOHUSISHA WATAALAM WA ndani na wa KIMATAIFA

HAYO YA LUHANJO HAYATAISHA HADI KUFUNGUE MIPAKA YA KITAALUMA... wahanga wa mfumo uliopo tuko wengi humu
 
sera hiyo iliwekwa na hawa ghasia nakubaliana na wewe
 
Hapa ni jukwaa la uwazi na ukweli,taja majina.
 
Last edited:
huyo DG wa NHC anateuliwa na nani? au taratibu za ajira yake zikoje? Na Waziri anahusika vipi katika kumteua DG wa shirika la 'umma'?
tangazo linatolewa kwenye media (printing), applications zinafanyika, shortlisting inatoka, interview inafanyika na panel ikijumuisha NHC board then majina matatu waziri anapewa then anawasialiana na ikulu wanapendekeza moja...anakuwa BOSS.
 

According to the first post jamaa walishusha viwango kwenye tangazo sasa kama nafasi inatangazwa kwanini tena raisi au waziri ndiyo wateue?
 

if that is the case kuwa interview inafanyika then wanapeleka majina kuna haja gani then ya kufanya hivyo? Mimi naona ni kupoteza hela za walipa kodi! Na je asipochagua kati hao inakuwaje? Kuna sheria inambana raisi kuwa lazima achague kati ya hao?
 
 

Mkuu hivi hao wote uliowataja wanatoka kwa LUHANJO? What if alitumwa afanye alivyofanya? Maana anayeteua ni Rais baada ya mapendekezo au unataka tuamini kuwa jamaa anateua na kumplelekea Rais jina?

Udini na Ukabila ni kwa kiwango kidogo sana japo upo. Mbona usemi watu wa dini fulani kushikilia sehemu nyeti kipindi hiki cha JK? Thats why nimesema haya mambo ya ukabila na udini weka pembeni kwani nafasi za uteuzi lazima kuwe na MERITS? KINACHOANGALIWA NI HUYU MWENZETU THATS ALL.
 
Mwanakijiji,

Appointment zote za ma CEO/ DGs mashirika makubwa ya umma hufanywa na rais, waziri husika ana nafasi kubwa sana ya kumshauri rais kiasi mara nyingine raisi anakuwa anapitisha mapendekezo ya Waziri tu.

.


Una uhakika na unachokisema?. Manake nakumbuka hiyo nafasi imetangazwa katika magazeti mara chungu mzima tena magazeti kibao? imetangazwa ya nini kama rais anateuwa?
 
Sijafurahishwa na mchango unaohusisha udini katika appointments. Yawezekana kukawa na udhaifu hapa na pale lakini naamini appointments nyingi zinazingatia uwezo wa mtu. Kwa upande wa NHC tungependa kuona majina na sifa za hao wanaowania nafasi ya u-DG ili tuanze kuwachambua.
 
Hakuna udini bana, kuna UMTANDAO kama hukushiriki kwa kampeni huna chako, "Scratch may back, I will scratch yours" wengi si walicheza kambi ya FS ndio maana wako nje.
 
kingwele,kanda2,game-theory,

..Philemon Luhanjo alikuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje wakati Kikwete ni waziri.

..inawezekana huyo ndiyo Katibu Mkuu waliyeelewana na Kikwete kuliko wote[makatibu wakuu] ktk utumishi wake[Kikwete] serekalini. naamini hiyo ndiyo sababu iliyomfanya Kikwete ahame naye kwenda Ikulu.

..baadhi ya makatibu wakuu waliofanya kazi na Kikwete wakati akiwa waziri ni kama Prof.Mark Mwandosya, Peter Ngumbulu,Balozi Elly Mtango,Balozi Hassani Gumbo Kibello.

..kama washauri na wasaidizi wa Raisi wanampelekea watu bomu kwa ajili ya kuteuliwa ktk nafasi mbalimbali basi Raisi anawajibika kuwabadili washauri/wasaidizi hao. Raisi pia anaweza kutafuta ushauri mahala pengine.

NB:

..Omari Nundu ni mtaalamu wa Aeronautics, siyo masuala ya biashara ya mashirika ya ndege.

..ATC ilishawahi kuongozwa na Emmanuel Ole Kambainei, Aeronautics Engineer kama alivyo Omari Nundu, matokeo yake hayakuwa mazuri hata kidogo. Mzee Mwinyi alimbadilisha na kumteua Melkizedeck Sanare.
 


Sometomes uongee kwa kutumia data na huku ukijua wanaosoma hapa JF wengi wamekwenda shule na wanajua taratibu siyo kuingiza ukabira usiokuwa na msingi katika jamii. Tangu lini Katibu Mkuu wa Ikulu anachagua wakurugenzi wa Mashirika??. Unaposema amemchagua mkurugenzi wa LAPF unajua taratibu za kumpata huyo? Kwanza LAPF ina Board yake na wakurugenzi wa Board, na nafasi zile zilitangazwa waka apply watu wengi, na kati ya hao waliochujwa huwa ni watatu. Hayo majina hupelekwa Ikulu kwamba any name out of that is qualifying!!

Sasa akimchukua yeyote pale Rais hana kosa, labda mwenye kosa aliyemleta. Learn to tell the truth!!
 

Kwa hiyo unasema waislamu hawana form 4 education na hawawezi kuipata? Ndiyo wakawekewa kiwango hiki ili washindwe?
 
Duh! Nimeipata at last!!

hii niliiipost on 15th May 2009, 08:44 PM


Na leo ni tarehe 7 MARCH 2010!


Just when you thought youve seen everything...dont you just love JF?
 

.....duuhh.........kaazi kweli kweli...........
 
if that is the case kuwa interview inafanyika then wanapeleka majina kuna haja gani then ya kufanya hivyo? Mimi naona ni kupoteza hela za walipa kodi! Na je asipochagua kati hao inakuwaje? Kuna sheria inambana raisi kuwa lazima achague kati ya hao?

Mugerezi this seems to be what has happened.. which fundamentally.. negates the need for the whole stupid process!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…