Mchezo wa Albastini kwenye Smart phone yako,unaweza shinda hadi $100 kwa tournament

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Ni kati ya mchezo wa karata niliokuwa nauhitaji sana kwenye Device yangu. Kwa wapenzi wa karata na wanaojua Pakua huu mchezo , kuna mda pia wa tournament ambapo mshindi huondoka hadi na $ 100. Ni wa kitambo na umewekwa katika mfumo wa Game za simu na mtanzania mwezetu.

Karibuni ..

Ukishalipta Nisearch na User name yangu nikupe kichapo .

Nashindwa pata link..ila nenda play store /app store na anadika "Albastini Karata Card Game" Utalipata.

 
duh... mambo ya dola mia... hatari sana...
 
kwahyo ukipata hyo dola 100 unaweza kuitoa au ndo inabaki humo humo kwenye simu?
 
kwahyo ukipata hyo dola 100 unaweza kuitoa au ndo inabaki humo humo kwenye simu?
 
kwahyo ukipata hyo dola 100 unaweza kuitoa au ndo inabaki humo humo kwenye simu?
 
huyo anaye toa hizo dola mia yeye ana nufaikaje... au nayeye ni papaa mobimba...
 
aya njoo uchezee kichapo, nipo online now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…