Mchezo wa Biko wanashinda wenye namba za tigo tu na Wengi wanatoka Dar es Salaam

Labda watumiaji wa tigo ni wengi kuliko wa mitandao mingine.
 
Mie mwenyewe nimejiulizaa dama hilii swaliii.
Iweje namba za kushindaa ni tigoo tuu.
Inaonekana ukiwa na tigo probability ya kushinda ni 0.6
 
Hebu nishaurini jamani mwenzenu siaminigi bahati nasibu hata kidogo, naamini kufanya kazi kwa bidii na kumuomba Mungu.
 
BIKO wapigaji kama wapigaji wengine...wametumia nguvu nyingi sana kufanya promotion, washindi wote wanapewa mafungu ya elfu tano tano hata kama ni milioni 60,
sasahivi naona wame advance hadi kwenye sports betting wana betting company yao wanaiita BIKO sports,

ukicheza umeliwa tu hela yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…