Hivi huu mchezo wachezaji wake ni matajiri sna? Kwa sababu wanapopewa taarifa ya kushinda huo wapo kawaida sna, yaani mtu ameambiwa umeshinda 20m anasema asante basi hakuna shamrashamra yoyote ile?
Inakuwa kama vile kapewa taarifa ya kawaida tu
Naona mkuu ulitaka iwe km taarifa ya msiba[emoji1][emoji1] .ila mm michezo ya kutuma muamala kusubiri txt ya muamala siwezi fanya ,bora ucheze mkeka wako .